Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh nchini Misri kurejea nchini Tanzania Mei 25, 2023 alikimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) uliofanyika katika mji wa Sharm El Sheikh.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Discussion about this post