• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, January 18, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Sayansi na Teknolojia

Wachina kulipa nauli kupitia kiganja cha mkono

by bajeti
May 26, 2023
in Sayansi na Teknolojia
0
Wachina kulipa nauli kupitia kiganja cha mkono

Raia wa china akiweka kiganja cha mkono katika mashine ili kulipia nauli ya treni maafuru kama (Metro)

Share on FacebookShare on Twitter

BEIJING,CHINA

CHINA imeendelea kukua kisayansi na teknolojia ambapo abiria nchini humo wataanza kulipia  tiketi ya treni ya chini ya ardhi maarufu kama  (Metro) jijini Beijing kwa kusanikisha (kuskani)  kiganja cha mkono pekee.

Kampuni ya Metro ya jijini Beijing imetangaza kuwa imeanza kutoa huduma maalumu kwa abiria wake ya kuskani kwa muda mchache kiganja cha mkono ili kulipia nauli ya treni ya chini ya ardhi.

Huduma ya kuskani haraka kiganja cha mkono ni imeelezwa kuwa ni mwafaka zaidi kwa watu walio wazee kiumri,wenye matatizo ya kimwili na waliosahau kadi zao za Metro au wale ambao hawawezi kutumia simu za mkononi, ambapo wote hao wanaweza kulipia nauli ya usafiri huo kwa njia hiyo.

Huduma za malipo kwa njia ya kuskani kiganja cha mkono zimepangwa kutolewa katika Ofisi,Shule, Kumbi za michezo na migahawa kwenye maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.

China inaendelea kukuwa zaidi kiteknolojia za kisasa, katika kuboresha utoaji wa huduma katika vituo na maeneo ya umma.

Katika mwendelezo wa utoaji huduma hizo, mnamo mwaka 2022 baadhi ya njia za treni katika mji wa Shenzhen iilizindua mashine za kuskani sura ya mtu kwa ajili ya kulipia nauli ya metro; na mwaka huu, treni ya chini ya ardhi ya Beijing imezindua huduma hiyo kwa kutumia mfumo wa kuskani kiganja cha mkono

 

Next Post
MISRI

MISRI

Serikali yaanzisha kampeni ya “SOMA NA MTI”

Serikali yaanzisha kampeni ya "SOMA NA MTI"

Ndege kubwa ya abiria iliyotengenezwa na China yasafiri kwa mara ya kwanza

Ndege kubwa ya abiria iliyotengenezwa na China yasafiri kwa mara ya kwanza

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:25
  • Today's page views 25
  • Total visitors 13,182
  • Total page views 14,928

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In