• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Siasa

CCM Zanzibar ‘yamlilia’ Mohamed Raza

by bajeti
June 10, 2023
in Siasa
0
CCM Zanzibar ‘yamlilia’ Mohamed Raza

Marehemu Mohamed Raza Hassanali

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa kufuatia taarifa ya kifo cha Kada,Mwanasiasa na Mfanyabiashara maarufu Mohamed Raza Hassanali aliyefariki Juni 08,2023 katika Hospitali ya Aghakan Jijini Dar es saalam.

Raza ambaye amewahi kuhudumu katika nafasi mbalimbali za ndani ya Chama na Serikali ikiwemo Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja na Mshauri wa Rais wa Zanzibar katioka Serikali ya Awamu ya Tano katika masuala ya michezo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolea Juni 8,2023 na  Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi –CCM ,Zanzibar Khamis Mbeto Khamis Makamu amesema Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, ametoa salamu za pole kwa familia,ndugu,jamaa na marafiki,wanachama wa CCM na Watanzania wote walioguswa na msiba huo na kuwasihi waendelee kuwa na subira katika kipindi chote cha msiba huo.

“Enzi za uhai wake  Mohamed Raza alikuwa ni kiongozi aliyelinda na kukipigania Chama chetu na alikuwa ni kada muadilifu,mchapakazi na mzalendo  mwenye maono ya kimaendeleo ndani ya Chama na Serikalini”, amesema Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Raza, alizaliwa Julai 08,1962 katika Mtaa wa Mkunazini Unguja, hadi ambapo hadi anafariki alikuwa ni Kada wa CCM na Mfanyabiashara mkubwa na amezikwa Juni 08,2023 katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es saalam.

Next Post
Canada yataifisha ‘dege’ la mizigo la Urusi

Canada yataifisha 'dege’ la mizigo la Urusi

Daraja

Daraja

OUT kuwatumia wahitimu 50,000 kuboresha mitaala yake

OUT kuwatumia wahitimu 50,000 kuboresha mitaala yake

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In