• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Canada yataifisha ‘dege’ la mizigo la Urusi

by bajeti
June 11, 2023
in Habari
0
Canada yataifisha ‘dege’ la mizigo la Urusi

Ndege ya Urusi inashikiliwa na Serikali ya Canada

Share on FacebookShare on Twitter

OTTAWA,CANADA

SERIKALI ya Canada itaikabidhi Serikali ya Ukraine ndege ya mizigo aina ya Antonov-124, inayomilikiwa na shirika la ndege la Volga-Dnepr la Urusi baada ya kuishikilia tangu 2022.

Tangazo hilo linakuja huku kukiwa na ziara ya ghafla ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Justin Trudeau nchini Ukraine.

Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Uchukuzi wa Kanada Omar Alghabra aliyoitoa Juni 10,2023 amesema kuchukuliwa kwa mali hiyo muhimu ni hatua ya kwanza ya Serikali ya Kanada ya Sheria iliyoundwa na nchi hiyo ya kukamata na kutaifisha mali ambapo imeundwa ili kuweka shinikizo zaidi kwa Urusi.

Ndege hiyo aina ya An-124 Ruslan ilikuwa imekodishwa na serikali ya Kanada kutoka kwa shirika la ndege la Urusi kupeleka shehena ya vipimo vya Covid kutoka China mnamo mwaka 2022 na ilitua Toronto nchini humo Februari 27,2022 saa chache kabla ya nchi hiyo kufunga anga yake kwa ndege zote za Urusi,ambapo imekuwepo tangu wakati huo.

“Tangu mwanzo tumesimama upande wa watu wa Ukraine, na kutekeleza NOTAM dhidi ya ndege zote zinazomilikiwa na Urusi na zinazoendeshwa kwenda Kanada,”

 “Tunasimama na Ukraine na tutachukua hatua zozote muhimu, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara huu, kuweka shinikizo kwa Rais Putin.” amesema Alghabra.

Tangu Februari 2022, Kanada tayari imetoa kiasi cha dola bilioni 8 kusaidia vita vya serikali ya Kiev dhidi ya Moscow, huku ikiweka vikwazo vingi dhidi ya watu binafsi na mashirika ya Urusi.

 

 

Next Post
Daraja

Daraja

OUT kuwatumia wahitimu 50,000 kuboresha mitaala yake

OUT kuwatumia wahitimu 50,000 kuboresha mitaala yake

CCM:Wasomi fanyeni utafiti miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali

CCM:Wasomi fanyeni utafiti miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In