• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Rais Samia atoa bilioni 1.4 kujenga ofisi ya RPC Mara

by bajeti
November 17, 2023
in Habari
0
Rais Samia atoa bilioni 1.4 kujenga ofisi ya RPC Mara

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini (Mb) (Wa pili kushoto), Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara ACP Salim Morcase (Wa pili kulia), pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi hilo muda mfupi baada ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara linalojengwa katika eneo la Manispaa ya Musoma Novemba 17, 2023(Picha na mpigapicha maalum)

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU,MARA

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma unaogharimu zaidi ya Sh.Bilioni 1.4.

Akizungumza Novemba 16,2023 mkoani Mara muda mfupi baada ya kukagua ujenzi wa jengo hilo,Sagini amesema kukamilika kwa jengo  hilo utaipa heshima na hadhi Ofisi ya Kamanda wa Polisi kwani kila Kitengo kitakuwa na Ofisi yake tofauti na ilivyo kuwa sasa.

“Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni sikivu na nimearifiwa kuwa, fedha za awamu ya pili na tatu tayari zimetoka hivyo basi nimuombe mkandarasi kukamilisha ujenzi kama inavyoelekeza ili ofisi ianze kutumika.” Alisema

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara ACP Salim Morcase, amemshukuru Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wizara kwa ufuatiliaji wa karibu wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara.

“Sisi kama Jeshi la Polisi kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kwako kwa ufuatiliaji wa karibu wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo letu”. amesema ACP Morcase

Jengo jipya la Ofisi ya Kamanda wa Poisi Mkoa wa Mara

Aidha, amebainisha kuwa, Mradi huo mpaka sasa umefikia asilimia 92 na ulianza kutekelezwa Novemba 18, 2021 na unakadiriwa kumalizika mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka 2023.

 

 

Next Post
Mvua tishio Dar es salaam

Mvua tishio Dar es salaam

Dkt.Jafo:Bonde la  Ziwa Tanganyika ni nyumbani kwa watu zaidi ya milioni 13

Dkt.Jafo:Bonde la Ziwa Tanganyika ni nyumbani kwa watu zaidi ya milioni 13

Mashauriano kuhusu wakandarasi wazawa

Mashauriano kuhusu wakandarasi wazawa

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 13,061
  • Total page views 14,806

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In