• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Jeshi la Polisi Tanzania laonya watumiaji mitandao ya kijamii

Ni kuhusu video za udhalilishaji utu wa binadamu

by bajeti
August 4, 2024
in Habari
0
Jeshi la Polisi Tanzania laonya watumiaji mitandao ya kijamii

Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania DCP David Misime

Share on FacebookShare on Twitter

 

NA MWANDISHI WETU,DODOMA

JESHI  la Polisi Tanzania limewataka watanzania wote kuacha kusambaza  video katika  mitandao ya kijamii zenye kudhalilisha utu wa binadamu kwa kuwa hilo ni kosa kisheria

Kauli ya Jeshi la Polisi imekuja baada ya kunaonekana video inayosambazwa katika mitandao ya klijamii ikimwonyesha binti anayesemekana ametokea eneo la Yombo Dovya Manispaa ya Temeke mkoani Dar es Salaam akidhalilishwa na kufanyiwa ukatili ambao haukubaliki na ni kinyume cha sheria, maadili ya Mtanzania na Haki za Binadamu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Agosti 4,2024 jijini Dodoma na Msemaji wa Jeshi hilo DCP David Misime amesema kutokana na video hiyo ya udhalilishali utu wa binadamu Jeshi la Polisi limeshaanza kulifanyia kazi tukio hilo ovu na la kulaaniwa.

”Jeshi la Polisi linatoa wito kwa Wananchi wote waache kuendelea kusambaza video hiyo kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria lakini pia ni kitendo cha kuendelea kudhalilisha utu wa binadamu mwenzetu.

”Tunatoa wito kwa mwenye taarifa ya kuhakikisha mkono wa sheria unawafikia kwa haraka waliofanya ukatili huu asisite kutusaidia kwa kutupa taarifa au kumpatia kiongozi yeyote yule wanayemwamini kwamba taarifa ikimfikia watu hao watapatikana haraka iwezekanavyo”amesema DCP Misime

 

 

Next Post
NHC kubadili eneo la Urafiki kuwa kitovu cha maendeleo ya kiuchumi

NHC kubadili eneo la Urafiki kuwa kitovu cha maendeleo ya kiuchumi

NHC yaendelea kuondoa changamoto za makazi Jiji la Kibiashara Dar es Salaam

NHC yaendelea kuondoa changamoto za makazi Jiji la Kibiashara Dar es Salaam

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira yapokea taarifa ya athari kwa Mazingira iliyotokana na mvua za El Nino

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira yapokea taarifa ya athari kwa Mazingira iliyotokana na mvua za El Nino

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:6
  • Today's page views 6
  • Total visitors 13,062
  • Total page views 14,807

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In