Wataalamu wa Wizara ya Maji na wawakilishi wa Benki ya Dunia (WB) wakikagua Mradi wa Maji wa Sange wa tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 50000 wilayani Pangani Mkoa wa Tanga Oktoba 2,2024 na kuridhishwa na utekelezaji wake ikiwa ni ufuatiliaji wa miradi ya Maji na Usafi wa Mazingira iliyo tekelezwa kupitia fedha za progamu ya lipa kwa matokeo (PforR) katika Sekta ya Maji.
Discussion about this post