Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akisalimiana na wakuu wa vikosi vya kijeshi Mkoa wa Arusha mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha Oktoba 2,2024. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda.Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika utakaofanyika Jijini Arusha Oktoba 3, 2024.
Discussion about this post