• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Wednesday, May 6, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Rais Dkt.Pezeskhian wa Iran amshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan

Waziri Balozi Mahmoud Thabit Kombo azungumza na Rais Dkt.Pezeskhian

by bajeti
November 17, 2024
in Habari
0
Rais Dkt.Pezeskhian wa Iran amshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Masoud Pezeskhian (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo aliyewasili nchini humo kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais huyo wa 14 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwishoni mwa wiki

Share on FacebookShare on Twitter

TEHRAN,IRAN

RAIS wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Masoud Pezeskhian amesema kuwa maingiliano makubwa ya kiutamaduni baina ya Iran na baadhi ya maeneo ya Tanzania hasa Zanzibar, ni fursa nzuri ya kustawishwa zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili.

Rais Pezeskhian amesema hayo Novemba 13,2024 wakati alipokutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo aliyewasili  nchini humo kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais huyo wa 14 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Amesema, anamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 14 wa Iran na kusisitiza kuwa, Tehran iko tayari kustawisha kwa kiwango kikubwa ushirikiano wake na Tanzania katika nyuga tofauti za kisiasa, kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.

Kwa upande wake, Waziri Balozi Kombo,amempongeza Dkt. Pezeshkian kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 14 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kumuombea mafanikio katika kazi zake.

Balozi Kombo amesema, uhusiano wa kihistoria baina ya Iran na Tanzania ni wa maelfu ya miaka na kwamba kuna idadi kubwa ya Washirazi wa Iran waliohamia visiwani Zanzibar miaka mingi nyuma na kueneza utamaduni wa Kiirani na hata lugha ya Kifarsi katika maeneo hayo.

Hata hivyo Waziri Balozi Kombo amewakaribisha Wairani kuitembelea Tanzania ili kuzidi kutia nguvu ushirikiano wa mataifa haya mawili katika nyuga tofauti hasa upande wa masuala ya kiuchumi.

 

Next Post
ACT-Wazalendo kufanya kampeni nchi nzima Uchaguzi Serikali za Mitaa

ACT-Wazalendo kufanya kampeni nchi nzima Uchaguzi Serikali za Mitaa

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar ‘aunguruma’ mkoani Katavi

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar 'aunguruma' mkoani Katavi

Ajali iliyohusisha Bajaji yauwa watu watano Songwe

Ajali iliyohusisha Bajaji yauwa watu watano Songwe

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:13
  • Today's page views 17
  • Total visitors 16,092
  • Total page views 18,257

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In