Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, akizungumza na Kamati za Siasa ngazi za Kata,Wilaya ya Mpanda Novemba 19,2024 mkoani Katavi wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Mpanda wakati wa muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo.
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post