Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza jambo na Rais wa Marekani Joe Biden kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Marekani, Kongo na Zambia kuhusu Ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor), ambapo Tanzania ni mgeni mwalikwa katika Mkutano huo unaofanyika katika Mji wa Lobito nchini Angola Desemba 4, 2024.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post