• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari aungana na Rais Dkt.Samia kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara

by bajeti
December 9, 2024
in Habari
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari aungana na Rais Dkt.Samia kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari

Share on FacebookShare on Twitter

NA GOODLUCK HONGO

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Hamza Johari ameuangana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Tanzania inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru ikiwa imeongozwa na marais sita akiwemo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Hayati Ali Hassan Mwinyi,Hayati Benjamin William Mkapa,Dkt Jakaya Kikwete,Hayati John Pombe Magufuli na Rais wa sita Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Katika kipindi chote cha Uongozi wa Viongozi hao Tanzania imebaki kuwa nchi pekee duniani yenye amani na utulivu jambo ambalo ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

‘’Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,Mh.Hamza Johari kwa niaba ya Menejimenti na Watumishi wote wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan  na Watanzania wote katika Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

‘’Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji wa Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yetu’’amesema Johari

Tanzania inajivunia misingi bora ya uongozi iliyowekwa na waasisi wa Taifa akiwemo Mwalimu Julius Nyerere kwa kuondoa ukabila,udini ikiwemo lugha ya Kiswahili kama lugha ya Taifa ambapo uongozi umekuwa ni wa kupokezana kila baada ya miaka mitano na 10.

Mfumo huo umesaidia katika kuhakikisha kuwa watanzania wanaishi kama ndugu hivyo kudumisha amani na utulivu.

Tanzania Bara ilipata uhuru wake Desemba 9,1961 wakati huo ikiitwa Tanganyika kutoka kwa wakoloni Waingereza ambapo Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliongoza mapambano ya kupata uhuru akiwa na Chama cha TANU na kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kabla ya kuwa Rais wa Kwanza Tanzania Bara.

Aprili 26,1964 Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika iliungana na Zanzibar iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Abeid Aman Karume na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Next Post
Miradi ya Iyumbu Nyumba 1000 na Medeli ilivyotatua changamoto ya makazi Dodoma

Miradi ya Iyumbu Nyumba 1000 na Medeli ilivyotatua changamoto ya makazi Dodoma

Kamishna Jenerali Lyimo:Tutateketeza dawa za kulevya nchi nzima

Kamishna Jenerali Lyimo:Tutateketeza dawa za kulevya nchi nzima

NHC Mkandarasi ‘Class A’anayejenga Majengo ya Wizara nane katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma

NHC Mkandarasi ‘Class A’anayejenga Majengo ya Wizara nane katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:6
  • Today's page views 6
  • Total visitors 13,062
  • Total page views 14,807

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In