Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga akimkabidhi funguo ya gari Kaimu Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani humo ASP Issaya Kyejo Septemba 08, 2025 mkoani Songwe ambapo jumla ya magari sita yalikabidhiwa kwa wakuu wa vikosi mbalimbali ili kuimarisha utendaji wa jeshi hilo likiwemo la Kamanda Senga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga akimkabidhi funguo ya gari Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Wilaya ya Momba SP Bhoke Semango Septemba 08, 2025 mkoani Songwe ambapo jumla ya magari sita yalikabidhiwa kwa wakuu wa vikosi mbalimbali ili kuimarisha utendaji wa jeshi hilo.
Discussion about this post