• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Saturday, July 11, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Vyumba 204 havitumiki katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha(AICC))

by bajeti
May 24, 2026
in Habari
0
Matukio 1718 ya milipuko na moto hayajachunguzwa

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG) Charles Kichere

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha kuna vyummba 204 havitumiki

Hayo yamebainika katika Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 iliyotolewa tarehe 30/3/2026

“Nilibaini kuwa vyumba 204 vya ofisi, vyenye mita za mraba 3,087 kati ya mita 12,000 zinazomilikiwa na Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha, vilibaki vitupu na havikuweza kutumika kwa mwaka mzima.

“Jambo hili lilisababisha hasara ya mapato takribani shilingi milioni 666.79 kwa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2025 na hali hii inatokana na ukosefu wa matengenezo ya kutosha wa majengo ya ofisi”amesema CAG Kichere

CAG Kichere amebainisha kuwa vyumba hivyo ambavyo havitumiki vitaisababishia taasisi hasara kutokana na kutokupatikana kwa mapato ya kodi na ongezeko la gharama za matengenezo kwa sababu ya ucheleweshaji wa ukarabati.

“Ninapendekeza kuwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha kiandae na kutekeleza mkakati wa kupangisha ofisi zilizo wazi na pia, kifanye ukarabati wa majengo ya ofisi ili kuvutia wapangaji.”amesema CAG Kichere

Next Post
JET  yawataka waandishi wa habari kujikita katika uhifadhi wa maliasili,mapito ya wanyamapori(Shoroba)

‘Majangili’wauwa Wanyamapori  577,Hifadhi ya Taifa Serengeti yaongoza  kwa vifo

Kilometa 92,770 za ardhi Mradi wa Dege Eco Village Kigamboni zavamiwa,

Kilometa 92,770 za ardhi Mradi wa Dege Eco Village Kigamboni zavamiwa,

IGP Wambura:Sasa hivi si muda wa kuuziana mbuzi kwenye gunia

IGP Wambura:Sasa hivi si muda wa kuuziana mbuzi kwenye gunia

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:122
  • Today's page views 122
  • Total visitors 20,836
  • Total page views 23,210

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In