MOSCOW,URUSI URUSI imeendelea kugonga vichwa mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi duniani kote kutokana na jinsi ilivyozima...
MOSCOW,RUSSIA MACHO ya dunia yameelekezwa nchini Urusi baada ya Kiongozi wa Kampuni binafsi ya Kijeshi Wagner Group Evgeny Prigozhin kuasi...
HELSINK,FINLAND FINLAND inatarajia kuzinyima misaada baadhi ya nchi za kiafrika kutokana na kutoonesha kuipinga Urusi baada ya kuanzisha kile inachokiita...
NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Google kutoka nchini Marekani imetambua mchango unaotolewa na tovuti ya habari ya BAJETI.CO.TZ baada ya...
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Khamis Mbeto Khamis,amewasihi wasomi nchini kufanya...
NA MWANDISHI WETU CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimesema kitawatumia wahitimu wake zaidi ya 50,000 walioko ndani na nje...
OTTAWA,CANADA SERIKALI ya Canada itaikabidhi Serikali ya Ukraine ndege ya mizigo aina ya Antonov-124, inayomilikiwa na shirika la ndege la...
LONDON,UINGEREZA WATAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wametoa matokeo ya utafiti walioufanya na kuonesha kuwa wanafunzi waliotumia maziwa...
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. ZAIDI ya Wanafunzi 28,981 kati ya 35,732 walioacha masomo wamerejeshwa shule ikiwa ni dhamira ya Serikali ya...
MOSCOW,URUSI WIZARA ya Ulinzi ya Urusi imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limeshambulia na kuangamiza meli ya mwisho ya kivita...

Contact us:
BAJETI COMMUNICATION
info@bajeti.co.tzHii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika habari za kina zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.
© 2025 Bajeti