NA MWANDISHI WETU MAKAMU wa Rais Dkt.Philip Mpango amewasili jijini Abidjan nchini Ivory Coast ambapo atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan...
NA MWANDISHI WETU MUUNGANO wa Asasi za Kiraia nchini wameiomba Serikali kurudisha imani na kutambua mchango wa asasi hizo katika maendeleo kwa kuwa pamoja na mambo mengine husaidia kutekeleza...
MWENYEKITI wa Taasisi ya isiyo ya Kiserika ya Jai Juma Mwipopo amesema wataendelea kusaidia makundi mbalimbali ya jamii wasiojiweza ili...
NA GOODLUCK HONGO SHIRIKA la Kimataifa la Amref Health Africa limetoa kiasi cha dola za kimarekani Milioni 1.9 kwa nchi...
NA MWANDISHI WETU MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inatambua umuhimu wa sekta binafsi kama kichocheo cha kuimarisha...
NA GOODLUCK HONGO MWENYEKITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Jai Juma Mwipopo ameitaka Serikali kuangalia gharama za matibabu ya...
NA MWANDISHI WETU NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (SITE)...
NA MIRIAM SARAKIKYA,ARUSHA. WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anjelina Mabula amesema Serikali itawachukulia hatua za kinidhamu wathamini ...
NA MWANDISHI WETU,DODOMA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kwa Kampuni ya Inter Country Contractors kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa...
NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa zamani wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof.Anna Tibaijuka amewataka wazazi nchini kuwa makini...

Contact us:
BAJETI COMMUNICATION
info@bajeti.co.tzHii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika habari za kina zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.
© 2025 Bajeti