WAZAZI wametakiwa kuacha kuwashawishi watoto wao kusomea fani wasizozipenda na badala yake wawape uhuru wa kusoma kile kilichopo katika ndoto...
UTAFITI uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa wanawake wanaongoza kumiliki silaha za moto kuliko wanaume kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vurugu...
SERIKALI imetaka kuwepo na uhuru wa kisera kwa nchi zinazoendelea na maskini ili kujihami na athari za uingizwaji wa bidhaa...
WAZAZI nchini wametakiwa kushirikiana na Walimu na wakiwemo walezi wengine wa Shule kuhakikisha kuwa watoto wanafanya vizuri na kutimiza malengo...
WAZIRI wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ametahadharisha kwamba Serikali ya Marekani inaweza kuishiwa fedha mwezi ujao na amelitaka bunge...
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amezihakikishia Kaya zote 644 za wakazi wa Magomeni Kota kuwa Serikali...
MAMIA ya raia wa Kipalestina wameandamana kusherekea kutoroka kwa wafungwa sita waliokuwa wamefungwa katika gereza lenye ulinzi mkali nchini Israel....
MKUU wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Mhandisi Richard Ruyango amewaagiza Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru kutenga siku...
TUME ya Uchumi na Jamii ya Umoja wa Mataifa ya Asia Magharibi (ESCWA),imesema asilimia 74 ya idadi ya watu wa...
WANANCHI wa Kata ya Imbaseny wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha wametakiwa kuchangia michango kwa ajili ya maendeleo ya eneo hilo...

Contact us:
BAJETI COMMUNICATION
info@bajeti.co.tzHii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika habari za kina zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.
© 2025 Bajeti