NA MIRIAM SARAKIKYA,ARUSHA. WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amewataka wakuu wa mabonde ya maji nchini kulinda vyanzo vyao vya rasilimali...
NA MBARAKA KAMBONA,MWANZA NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais...
NA MWANDISHI WETU, MAGU NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema amewataka wananchi kuwa wazalendo katika kulinda vitalu...
NA GOODLUCK HONGO, WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Seleman Jaffo amewataka Mawaziri wa Maji...
TOKYO,JAPANI JAPANI inaadhimisha miaka 77 tangu mji wa Nagasaki uliopo nchini humo kushambuliwa kwa bomu la atomiki(nyuklia) wakati wa Vita...
NA MBARAKA KAMBONA, ARUSHA WAFUGAJI wanaofanya shughuli zao Kanda ya Kaskazini wameiomba Serikali kuhakikisha Maafisa Ugani wanawafikia ili kuwapatia huduma...
NEW YORK,MAREKANI MANUSURA wa bomu la atomiki lililodondoshwa mjini Hiroshima nchini Japan mwaka 1945 waliandamana jana jijini New York Marekani...
NA MWANDISHI WETU NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama ametoa muda wa siku 14...
NA MIRIAM SARAKIKYA, ARUSHA SERIKALI imetenga bajeti ya zaidi ya Sh. Bilioni 600 katika Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo...
NA MWANDISHI WETU,DODOMA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia...
Contact us:
BAJETI COMMUNICATION
info@bajeti.co.tzHii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika habari za kina zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.
© 2025 Bajeti